Mrs ma2mbo
Member
- Dec 27, 2011
- 49
- 23
eti jamani kuna tofauti gani kati ya shambulio la ngono na kubaka??
sijui tofauti ila kumbaka mtu ni kumlazimisha kufanya naye mapenzi bila ridhaa yake
hapo hujabakwaje akilidhia alafu baadae akachoka alafu we ukaendelea kukandamiza bila ridhaa yake, utakuwa umebaka?
hapo hujabakwa
kwaio linakuwa shambulio la ngono?
ni kiasi tu cha kumueleza mpnz wako kwmb umechoka basi,we ushaona wapi mtu anabakwa na mwenza wake tena guest khaa
eti jamani kuna tofauti gani kati ya shambulio la ngono na kubaka??
wapo sana,utakuta jitu linakuita guest.we unaenda ukijua mtapiga stori tu,mara unashangaa linaanza kukushikashika,ukilikataza ndio linakufanya kwa mabavu.
Shambulio la ngono ndo nalisikia kwako leo
watoto wa enzi za jk hawana time na taarifa ya hbr,kizazi cha vampire diaries hahahahaili neno sio geni,linatumiwa ata na wanahabari.
Mrs ma2mbo, kwanza nimekumisi!
Hakuna shambulio la ngono, kuna shambulio la aibu. Linahusisha kushikwa kusiko sahihi (inappropriate touching).
Kubakwa ni lazima kuwe na muingiliano (penetration). So kama kubakwa hakujafanikiwa inabakia kuwa na shambulio la aibu (sexual assault)