Niko serious na ununuzi wa shamba hili naomba kujua haya:
Lina hati ya kijiji au?
Hayo maji ya mto ni throughout the year au?
Je wewe ndiye mmiliki halali au la familia?
Ni KM ngapi from main road
Kuna huduma gani karibu mf zahanati (Km ngapi, Ofisi ya serikali ya kijiji?)
Kuna majirani au ni mashamba tu?
Naomba majibu mkuu.
Ebwana dili zuri... Bado lipo?
Mkuu dikembe kalicheki basii,usiache chance kama hii ikupite hivi hivi then nijulishe tunaweza kuongea kitu....
Me ningekuwepo karibu ingenihusu c unajua...
Kaka hili shamba tayari ulipata mteja? Au vipi? Naomba kufahamu maana nipo serious sana nahitaji hilo shamba
Simple Question,Mkuu bado sijapata mteja hivyo nakukaribisha sana kwajili ya manunuzi. Pia nimekutumia PM kunipata kirahisi, usisite kunitafta mkuu muda wowote.
Simple Question,
Why unaliuza??
Kaka nimekupm naomba uniijibu
The king.
Wakuu shamba langu bado halijapata mteja mpaka sasa.
Sasa, nimeamua kulikodisha kwa wale wote ambao mtahtaji kulima kilimo cha umwagiliaji ninawakaribisha sana.
Aliye tayari nitamkodishia sh60k kwa ekari. Mashine ya umwagiliaji na vifaa vyote vya kilimo hiki ninavyo.
Mwenye uhitaji anitafte kupitia namba zangu hapo juu.