H hayolae Senior Member Joined Sep 28, 2015 Posts 180 Reaction score 866 Oct 28, 2015 #1 Shamba zaidi ya hekali sita linauzwa kwa beii nafuu kabisa. Eneo hili ni zuri kwa kilimo au shughuri nyingine ya kiuchumi . Shamba hili lipo mkoa wa mbeya wilaya ya momba Mtoa tangazo hili nimuhusika kamili na siyo dalali Kwa atakae hitaji au kuuliza chochote tuwasiliane kupitia 0753715207 ‎0659 262 582‎ Hayolae@gmail.com Ahsanteni sana!!!!!!!!!!!!
Shamba zaidi ya hekali sita linauzwa kwa beii nafuu kabisa. Eneo hili ni zuri kwa kilimo au shughuri nyingine ya kiuchumi . Shamba hili lipo mkoa wa mbeya wilaya ya momba Mtoa tangazo hili nimuhusika kamili na siyo dalali Kwa atakae hitaji au kuuliza chochote tuwasiliane kupitia 0753715207 ‎0659 262 582‎ Hayolae@gmail.com Ahsanteni sana!!!!!!!!!!!!
B Balacuda JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 1,389 Reaction score 715 Oct 28, 2015 #2 Magufuri Anakuja....hakuna hifadhi ya barabara hapo?
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Oct 28, 2015 #3 je kiwanja kina hati miliki ya ardhim, hakina usumbufu wowote na serikali kuhusu miundombinu yoyote mkuu tutumie picha ya hilo shamba hapa tuone ndipo tuanze mchakato huo km itawezekana
je kiwanja kina hati miliki ya ardhim, hakina usumbufu wowote na serikali kuhusu miundombinu yoyote mkuu tutumie picha ya hilo shamba hapa tuone ndipo tuanze mchakato huo km itawezekana
H hayolae Senior Member Joined Sep 28, 2015 Posts 180 Reaction score 866 Oct 28, 2015 Thread starter #4 Hakuna hifadhi ya barabara usihofu
H hayolae Senior Member Joined Sep 28, 2015 Posts 180 Reaction score 866 Oct 28, 2015 Thread starter #5 Kila kitu kipo hatuuziani mbuzi kwenye gunia taaratibu zote za kisheria zitafuatwa !!!!!!