Shamba linauzwa.

Shamba linauzwa.

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
shamba liko Bagamoyo.unaingilia shule ya baobab.kama km2 toka barabarani
ni heka 8
:linakisima kilichochimbwa na machine kwajili ya umwagiliaji
:mabanda yaufugaji
:nyumba ya mlinzi n.k
bei milion 10kwa heka ila ukinunua utalipia na nusu ya garama ya uchimbaji wa kisima kilichopo

unaweza nunua hata heka 4...
nichek kwa 0654160092.bei inapungua kidogo
 
Mkuu,

Hili shamba hii ni Mara nyingine tena unalitangaza, means Mara ya kwanza hukufanikiwa.

Nilitegemea safari hii ungekuja na bei nzuri zaidi ili isiwe kama Mara ya kwanza but umekuja vilevile.

Matokeo yake utaondoka vilevile kama mara ya kwanza bila kupata mteja!!
 
Mtakao kwenda kununua muwe makini Watu amelizwa sana Mitaa hiyo ya baobab.
 
mkuu haijalish ntalieka mara ngapi ili tangazo.mana mali ni yangu na sina haja ya kumuibia mtu.nina document zote halali.
Bei ni hiyo hiyo mkuu sitobadili na ndo bei niliuza kipande cha kwanza nilipata mteja hukuhuku na nililitangaza six times.
 
Mkuu,

Hili shamba hii ni Mara nyingine tena unalitangaza, means Mara ya kwanza hukufanikiwa.

Nilitegemea safari hii ungekuja na bei nzuri zaidi ili isiwe kama Mara ya kwanza but umekuja vilevile.

Matokeo yake utaondoka vilevile kama mara ya kwanza bila kupata mteja!!

hop umenielewa mkuu
 
Infact kulitangaza more than once ina faida nyingi.. mmojawapo ni kwamba:

- atakayekutana nalo, kuna uwezekano kwa asilimia kubwa kwamba pengine asinge enda huko tarehe za nyuma kulitafuta. Hio pia linatokana na kwamba sio kila mteja tarajiwa anapatikana kwa sababu alikuwa ana ingia kwenye JF kutafuta kitu maalum saa zote.

Kuna kitu inaitwa 'impulse buying', kwa hiyo hii pia ni fursa mmojawapo linaloweza kutokea.

Lets think positive..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom