Hiyo ni mitaa yangu,eneo la majumba sita ni zuri sana kwa leo na siku za usoni. Pale kuna njia inaingia kushoto kama unakwenda marogoro. Ulizeni unaingia ndani km ngapi? Mambo yanayoendelea huko kwa sasa ni serikali yetu kutafuta eneo zaidi kwa ajili ya uwanja wa ndege wa kimataifa,uchimbaji/utafutaji wa gesi asilia.Ukifika majumba sita uliza mzee mmoja anaitwa Dogori ndiye mwasisi wa hilo jina la majumba sita,huyo anaweza kukwambia kila kitu kuhusiana na mipango ya serikali. Naye ni mtoto wa mjini pia,angalia.