Lina document gani?Habari zenu wadau.
Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 5. Shamba lipo Bagamoyo maeneo ya makurunge, Kama unatoka Dar kupitia bunju ukifika pale kwenye mzunguko (round about) ya kuingia mji wa bagamoyo Makurunge ipo kilometre 8 kuanzia pale kama unaelekea msata.
Ukiwa unapita njia hiyo ya bagamoyo msata ukifika sehem kwenye njia panda ya kwenda Saadani National Park, hapo ndio Makurunge.
Ukifika pale ni mwendo wa chini ya dakika 5 kwa pikipiki kufika shamba lilipo.
Shamba ni lakwangu halina udalali na nilishawapeleka watu wa ardhi wilaya Bagamoyo kwaajili ya kulipima ili kuendelea na mchakato wa kulipatia hati.
Hivyo shamba tayari lina mchoro .
Shamba ni Safi nimelisafisha lote ila sijapanda chochote.
Naliuza lote heka 5 kwa 4.5ML (million nne na laki tano). Kwa maelezo zaidi nipigie 0744 638063.
Akikujibu naomba unitagi please.Lina document gani?
Anadai liko kwenye mchakato hatiLina document gani?
Mkuu una nyaraka zote za eneo lako?JAMANI NINA ENEO LANGU LIKO KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC. NALIUZA. LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUBUNIA MAJI LITA ELFU 3000.
NATAKA ML. 25
MM NDIO MMILIKI.
0685223804View attachment 2570906View attachment 2570907View attachment 2570908View attachment 2570909View attachment 2570910View attachment 2570911
Nina hati ya mauzio ya serikali ya mtaa nilipo nunua.Mkuu una nyaraka zote za eneo lako?
Ahsante
Mkuu, kutoka shamba lilipo mpaka Saadani ni umbali gani?. Je maeneo hayo ndio yale ambayo wanyama wa Saadani tembo, fisi na wenzao huwa wanavuka kula vitu kwenye mashamba?.Habari zenu wadau.
Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 5. Shamba lipo Bagamoyo maeneo ya makurunge, Kama unatoka Dar kupitia bunju ukifika pale kwenye mzunguko (round about) ya kuingia mji wa bagamoyo Makurunge ipo kilometre 8 kuanzia pale kama unaelekea msata.
Ukiwa unapita njia hiyo ya bagamoyo msata ukifika sehem kwenye njia panda ya kwenda Saadani National Park, hapo ndio Makurunge.
Ukifika pale ni mwendo wa chini ya dakika 5 kwa pikipiki kufika shamba lilipo.
Shamba ni lakwangu halina udalali na nilishawapeleka watu wa ardhi wilaya Bagamoyo kwaajili ya kulipima ili kuendelea na mchakato wa kulipatia hati.
Hivyo shamba tayari lina mchoro .
Shamba ni Safi nimelisafisha lote ila sijapanda chochote.
Naliuza lote heka 5 kwa 4.5ML (million nne na laki tano). Kwa maelezo zaidi nipigie 0744 638063.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unataka kumfukuzia watejaMkuu, kutoka shamba lilipo mpaka Saadani ni umbali gani?. Je maeneo hayo ndio yale ambayo wanyama wa Saadani tembo, fisi na wenzao huwa wanavuka kula vitu kwenye mashamba?.