Shamba lenye ekari 3, lipo vikawe - wilaya ya bagamoyo, kitongoji cha Kimere. Limelimwa miembe, michungwa, mipapai, migomba na mbogamboga na kuna mabanda ya vyumba viwili. Shamba lipo kwenye maeneo yanayofikika kwa urahisi kwa njia zote za usafiri.
Kwa mawasiliano:
0715 282684 / 0754 282684 / 0787 282684