Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Ozone star

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
8
Reaction score
4
Shamba la hekari 2 linauzwa linapatikana kunakojengwa bandari kavu na reli ya mwendokasi (KWALA). njoo ujipatie umiliki wa ardhi na uendane na ukuaji wa kasi hapa kwala wilaya ya Kibaha. kwa maelezo pga Namba ni 0786098500 au 0687318476
 
Ungesema weka bei, sio unaongea utumbo wa bata mkuu!. Sijakulazimisha bhana, kama hujapenda pita zako.
Wewe ni DALALI uchwara,kanuni za tangazo/matangazo ya biashara ni picha,bei na maelezo ya msingi kama ukubwa wa eneo nk
Unaambiwa halafu unaleta ujuaji,wawapi wewe?
Kubali kurekebishwa au una PhD ya ubishi??)
 
Bei?picha?sh ngapi kwa eka? unauza lote au unaweza ukauza kwa eka moja moja?
 
Atakaehitaji kukatiwa atakatiwa, na hadi sasa hekari moja ishauzwa bado moja na hiyo hekari moja inauzwa 4.5m.
 
Sasa hiyo heka moja niliyouza nimeuzaje rafiki?. kama una heka kwala hapa centre njoo uniuzie mkuu nikupe laki7 fasta mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom