Shamba linauzwa Songea

Teko

JF-Expert Member
Jul 3, 2010
230
61
Shamba lenye ukubwa wa ekari elfu mbili linauzwa. Lipo Nambendo Songea.
Eneo lililong'olewa visiki ni Kama ekari Mia mbili. Eneo lililobaki Lina Miti mikubwa inayofaa kwa mbao za asili.
Kuna Nyumba na vifaa vyote pamoja na solar. Kuna walinzi wanakaa. Pia kuna Bwana la maji pembeni ya Nyumba.
Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba. 0767040589.
 
Jamani nauza Nyumba Songea ipo Mkuzo karibu na msamala bei ni maelewano.
Nipigie 0756 303344
Karibu tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom