hapana mkuu hiyo ipo kwenye mashamba ya jiraniHiyo Minazi pia imo kwenye Shamba hilo?
karibu sana mwezi wa 9 ulime kabisa.Shamba zuri sana. [emoji1531]
karibu sana mwezi wa 9 ulime kabisa.
Hili swali nililitarajia litaulizwa baada tu ya kuiona hiyo picha na mmWhite pale Ni zombie au
hapana mkuu hiyo ipo kwenye mashamba ya jirani