mob
JF-Expert Member
- Dec 4, 2009
- 2,262
- 1,360
kuna mwenzake alikuja last week akasema anauza pale kawawa road kwa milioni sita robo heka hajapata wateja wewe unakuja na hiyo bei aisee kata viwanja utapataHakuna hilo,Moshi naifahamu yote hilo eneo sio yale ya makazi ya Ukoo useme kwamba ni prime sana hadi ifike bei hiyo. Hilo eneo ni tupu na ni kame kabisa hakuna makazi ya watu hapo,na pia hilo eneo hakuna la ziada mpaka ifikie hiyo bei,kama hilo eneo lingekuwa ni KCMC angalau kidogo inge sound lakini sio hapo Mjororoni.