Shamba linauzwa Mbozi-Songwe

Shamba linauzwa Mbozi-Songwe

Carokola

Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
54
Reaction score
25
Habari zenu wanajamii foroum! Last 3 weeks nilitangaza kuuza shamba! Nilikaa na madalari na wazoefu wa bei za viwanja wakanipa bei

Shamba lipo barabarani kabisa suitable kwa Filling Station,Hospital,Shule,Hotel yenye parking ya kutosha ofisi n.k
Hekari mbili 2 kasoro bei 25 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mjini bei hiyo sawa.
Lkn kama ni pembeni kabisa hebu anzia hata 5
 
Habari zenu wanajamii foroum! Last 3 weeks nilitangaza kuuza shamba! Nilikaa na madalari na wazoefu wa bei za viwanja wakanipa bei

Shamba lipo barabarani kabisa suitable kwa Filling Station,Hospital,Shule,Hotel yenye parking ya kutosha ofisi n.k
Hekari mbili 2 kasoro bei 25 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbozi sehemu gani mlowo kalasha ama vwawa ili tujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom