js52471224
Member
- Oct 8, 2017
- 56
- 36
Karibu muwekeze kwenye kilimo na miti. Shamba langu nauza linafaa kulima viazi mvingo, mahindi,njegere, ngano na kupanda miti kama mipaina,milingoti na mibani.ukitaka eka moja au zaidi sawa,bei eka moja ni sh.200,000/= Na pia lipo eneo nilopanda miti nalo nauza,miti imepandwa mwaka 2015.eka moja miche 600 ya miti. Shamba na miti kwa eka moja sh.1,000,000/=ukitaka eka moja au zaidi. lipo Ugera Ludewa Njombe, Karibu mawasilino yangu 0763144333 au 0654889707