hii tabia ya kuwauzia watu mashamba kipindi cha kiangazi hatari sana sasa sehemu mkondo wa maji lakin mtu anauziwa wale wa kihonda kwa bwana jela najua tabu mnayoipata atakuja mtu ana kwambia nina eneo mbuyuni nauza milion 5 we ukaona umepata ngoja msimu wa mvua utalia sana tuwe wawazi madalali na wauzaji wengi wana nunu sehemu siyo sahihi kwa uroo wa kujenga