Wasalam. Wanandungu.shamba linauzwa linaukubwa wa eka kumi kila eka shil milion mmbili na laki nane.bei hiyo kwa atakae chukuwa kuazia tano kwenda juu.moja moja mil3.0752961814
Wasalam. Wanandungu.shamba linauzwa linaukubwa wa eka kumi kila eka shil milion mmbili na laki nane.bei hiyo kwa atakae chukuwa kuazia tano kwenda juu.moja moja mil3.0752961814
Mkuu hili swali lako hata ingekuwa mimi ningeshindwa kulijibu.mimi nina maeneo yangu mengi huko ila hili swali lako gumu hilo daraja jipya wengi hawalijui maana kwanza halijaanza kutumika na kwa wanaolijua ni lazima wawe ni watumiaji au walishawahi kuvuka na vivuko vidogo vya vijibweni.ilitakiwa umuulize kwa kupitia kibada njia ya Dar zoo ni km ngapi au kutokea mji mwema au Gezaulole ni umbali gani.au kutokea mwisho wa lami pale Mwembe mdogo ni maeneo gani au la mwisho kutoka kiwanda kipya cha Cement ni maeneo gani mkuu tusaidie maana naona bei yako sio mbaya Mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.