Shamba Linauzwa Kibaha

Shamba Linauzwa Kibaha

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,760
Reaction score
2,188
Wakuu,

Kuna Shamba linauzwa Kibaha, Picha ya Ndege.
Shamba lina ukubwa wa hekari 5 na linauzwa kila heka Tshs 3Million.
Kwa atakaelichukua lote maongezi yapo.
Shamba lipo Upande wa Kulia, 2km kutoka Barabara kuu ya Kwenda Chalinze (Morogoro Road)

Contacts; 0713 87 56 59
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom