Labda heka 5 tufanye biasharaKama nataka hela mbili je
Japo picha ndugu mfanyabiashara.
All the best
Ndiyo nini hichoLina nyumba ya tofali vyumba 2 bei 350,00 kwa Kila heka
Mkono umeteleza ni 350,000Ndiyo nini hicho
Namba yangu hii 0659891515 piga niulize chochote unachohofia nakuondoa shakaNahofia utapeli ila ningekuja hata sasa ninunue
Namanisha kama unahitaji namba yangu hiyo 0659891515 piga tufanye biashara sio lazima uchukue hata 10 kuendelea inafaaAcha utapeli kijana
Kaka,kwema nduguShamba Lina ukubwa wa heka 60 lipo msata umbali kilometers 3 kutoka balabala ya lami msata bagamoyo
Lina nyumba ya tofali vyumba 2 bei 350,000 wa Kila heka
Kwa mawasiliano 0659891515