shamba linauzwa chanika

shamba linauzwa chanika

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,571
Nauza shamba langu lenye ukubwa wa ekari tano.lipo chanika jijini Dsm.

umeme upo
barabara inafika hadi ndani ya eneo.
ni zuri na linafaa kwa aina yoyote ya uwekezaji na kwa makazi.

ni pm au piga simu no.0715290325

BEI Tshs millioni 160/= mazungumzo yapo.
 
kama bei ni siri hukuwa haja ya kubandika tangazo jamvini watanzania tunahitaji kujua faida ya matangazo yaliyo jitosheleza tuweke matangazo ambayo hayaleti maswali kwa wasomaji au ndio kuongeza post?
 
kila siku mnapigiwa kelele wekeni bei,jiamini na biashara zenu jamani
 
Weka bei ya kuanzia mkuu,hata Skigat waliweka bei ebay ingawa walikua wanajua ni kimeo!!
 
huyu jamaa alini PM anasema mil 160
 
wakuu nime edit,bei ndio hiyo apo,karibuni sana.
 
haya wenye kuhitaji shamba kazi kwenu.ardhi ni mali
 
Nauza shamba langu lenye ukubwa wa ekari tano.lipo chanika jijini Dsm.

umeme upo
barabara inafika hadi ndani ya eneo.
ni zuri na linafaa kwa aina yoyote ya uwekezaji na kwa makazi.

ni pm au piga simu no.0715290325

BEI Tshs millioni 160/= mazungumzo yapo.

M2 wang kama vp uza vipande vipande kuanzia hekari moja moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom