shamba linauzwa behi rahisi

shamba linauzwa behi rahisi

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
shamba lipo mvuti karibu na gereza la dondwe wilaya ya temeke mkoa wa dar es salaam heka 5 bei mill 10 maelewano yapo lina faha kwakilimo wekeza kwa sasa na badae hii ndio fulsa sasa simu 0712690760
 
Samahani kwa usumbufu mkubwa ila raha ya jamii forum ni kua kuna watu wa daraja la chini na la juu na wote na tunaomba ututajie kama unaweza kuuza heka 1 na kama mtu akitaka kufika huko anapanda basi gani na je una vielelezo gani vy umiliki?

Ntashukuru sana kama utatoa ushirikiano.
 
Panda mabasi yatakayokufikisha Rangi 3 Mbagala, and then unapanda magari ya kuelekea mvuti

nashukuru kwakunisaidia kunielekezea
 
samahani pia minauza heka zote 5 siuzi heka mojamoja ukitaka kuhakiki siunauziwa kisheria hilo halina tabu kuhusu humiliki ndugu
 
karibuni wadau bado lipo shamba
 
shamba lipo mvuti karibu na gereza la dondwe wilaya ya temeke mkoa wa dar es salaam heka 5 bei mill 10 maelewano yapo lina faha kwakilimo wekeza kwa sasa na badae hii ndio fulsa sasa simu 0712690760

Kuna maji mkuu? Vipi ml 6 unachukua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom