Shamba linauzwa Arusha

Shamba linauzwa Arusha

kukucd

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
307
Reaction score
196
Nauza shamba heka 2 na nusu,lipo arusha manyata,ukishuka na barabara ya sadec ni chin ya rel tu ndipo mashamba yalipo,shamba linamfereji wenye maji wakati wote,ni shamba la mpunga na maindi.bei 40m kwa ekari 1 maelewano njoo pm.
 
wapendwa naomba ukija pm uwe serious na siyo longolongo nyingine watu mnazoleta pm
 
Nauza shamba heka 2 na nusu,lipo arusha manyata,ukishuka na barabara ya sadec ni chin ya rel tu ndipo mashamba yalipo,shamba linamfereji wenye maji wakati wote,ni shamba la mpunga na maindi.bei 40m kwa ekari 1 maelewano njoo pm.

Watakuja mabilionea wa arachuga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom