Shamba Linauzwa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba Linauzwa Arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by manyusi, Feb 16, 2011.

 1. m

  manyusi JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Shamba lenye ukubwa wa heka 160,linauzwa liko Tengeru Arusha km 8 toka mainroad ya Arusha-Moshi lina lease ya miaka 99,unaweza nunua lote au kwa kipande kisichopungua heka 40.Linafaa kwa kujenga shule,hotel,au kwa kilimo cha maua,kwa wahitaji wasiliana na 0754758957 au 0717799900 Isaac.
   
 2. wasaimon

  wasaimon R I P

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee hili shamba bado lipo? Na bei kwa heka ni kiasi gani kama bado lipo
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  KWA MREFU.....1 kilometre FROM THE MAIN ROAD....WALLFENCED.....GATE.....STORE YA MABANZI
  62METRES ALONG THE ROAD.....35METRES....
  185 MILLIONS
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mimi nataka hapo eka kumi (10) kwa matumizi ya familia
   
 5. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Instructions!!!!!!!!!!"""??????????
   
Loading...