Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Watanzania lazima tumerogwa, kama unashindwa hata kusema shamba lipo mkoa gani unategemea nini?Shamba la ukubwa wa hekta 2.5 likiwa na michungwa na mabanda ya kufugia kuku (full equiped) wanaoweza kufika elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, mananasi nk. Eneo la shamba lipo madale - kisauke
Kwa muhitaji piga 0715274727 - Papaah
Acha papara soma vizuriHujasema wapi na shilingi ngapi??
Kwa hiyo kila Hekta 1 unaikodisha kwa Tshs 1Mil??Shamba la ukubwa wa hekta 2.5 likiwa na michungwa na mabanda ya kufugia kuku (full equiped) wanaoweza kufika elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, mananasi nk.
Eneo la shamba lipo Dar - madale - kisauke
Bei 2.5 million kwa mwaka (negotiable)
Kwa muhitaji piga 0715274727 - Papaah
Kwa msaada tu Madale iko Dar, njia rahisi inayojulikana ni kupitia Kiwanda cha cement cha Wazo HillWatanzania lazima tumerogwa, kama unashindwa hata kusema shamba lipo mkoa gani unategemea nini?
Njoo uone investment iliyofanyika kama una helaKwa hiyo kila Hekta 1 unaikodisha kwa Tshs 1Mil??
Hilo ndilo Jibu la swali nililouliza??Njoo uone investment iliyofanyika kama una hela
Huna hela ww kaoge ulale shemeji yako anafunga mlangoKwa msaada tu Madale iko Dar, njia rahisi inayojulikana ni kupitia Kiwanda cha cement cha Wazo Hill
Siongeagi na manyaniHuna hela ww, kaoge ulale
Mkuu ni hecta au ekari au mimi ndo sijaelewaShamba la ukubwa wa hekta 2.5 likiwa na michungwa na mabanda ya kufugia kuku (full equiped with water drinkers) wanaoweza kufika elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, mananasi nk.
Eneo la shamba lipo Dar - madale - kisauke
Kwa muhitaji piga 0715274727 - Papaah
Hujielewi ata kidogoHuna hela ww, kaoge ulale
Hupokei simu mbona au ulikuwa unatutegaShamba la ukubwa wa hekta 2.5 likiwa na michungwa na mabanda ya kufugia kuku (full equiped with water drinkers) wanaoweza kufika elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, mananasi nk.
Eneo la shamba lipo Dar - madale - kisauke
Kwa muhitaji piga 0715274727 - Papaah
Samahani kaka sikuisikia, nipo hewani kakaHupokei simu mbona au ulikuwa unatutega
Mkuu ni hecta au ekari au mimi ndo sijaelewa
Nachojua hekta moja = ekari 2.5Unasemaaa?
Nachojua hekta moja = ekari 2.5
Sawa ila review hiyo pesa maana kwa mwezi ni pare fu sana hapo.Samahani kaka sikuisikia, nipo hewani kaka