CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Linaitajika Shamba morogoro road kwa ajiri ya mifugo maeneo ya kuanzia Mlandizi kuja mpaka Kibaha.
Ukubwa ni kuanzia 5-10acres.
Normal price please.
Serious sellers only.
Kiluvya iko Dar au pwani?na vp usafiri mpaka kufika shamba?but the price still too much expensive.......by the way nijulishe kwanza then tutaongea kuhusu bei.Kuna Ekari 20 Kiluvya Utondoroni @ Milioni 5 kwa Ekari. Mazungumzo kidoogo yanawezekana. 0754 340606
Lipo maeneo gani?na ni bei gani?vp miundombinu?must be in normal price mkuu.nitafute nikupatie 0657145555
What is your normal price?Lipo maeneo gani?na ni bei gani?vp miundombinu?must be in normal price mkuu.
Depending where the farm is!!!!!What is your normal price?
Kiluvya iko Dar au pwani?na vp usafiri mpaka kufika shamba?but the price still too much expensive.......by the way nijulishe kwanza then tutaongea kuhusu bei.
Ok,ntakucheki weekend inshaallah ili tu-discus....Ukitoka Kiluvya unaingia Kibaha. Shamba lipo about 4 KM kutoka barabara Kuu ya Morogoro Road/ Barabara Ipo Kwa sababu kuna Shule unapita kwenda huko. with Bajaj ni kama 10 to fiteen minutes. Karibu.
nikitaka heka moja napata?...Ukitoka Kiluvya unaingia Kibaha. Shamba lipo about 4 KM kutoka barabara Kuu ya Morogoro Road/ Barabara Ipo Kwa sababu kuna Shule unapita kwenda huko. with Bajaj ni kama 10 to fiteen minutes. Karibu.
nikitaka heka moja napata?
Unashamba la ukubwa wa kiasi gani?Salam. Samahani mpendwa, namba ya chini kabisa ambayo unaweza kununua ni Ekari Tano (5)
Unashamba la ukubwa wa kiasi gani?
Kuna mtu anaitaji shamba la pamoja heka 15.
Kiluvya iko Dar au Pwani?na bei mbona iko juu?jee miundombinu ya barabara na umeme vp?...Salamu Mkuu Mandieta. Shamba lina Ekari 20 Kiluvya Tondoroni. Kila Ekari @ 5 Millioni. Nimeandika hapo Juu Mkuu.
Ahsante kwa taarifa mkuu!Nilisikia maeneo ya Kiluvya Tondoroni yana matatizo na JWTZ linasema ni mali yake. Mnaotaka kununua huko mjiridhishe kabla ya kununua kesi na JWTZ.
mkuu nami pia nilisikia mzozo huo mpaka uendelezaji ulisitishwa. cha msingi kuwa na tahadhari ya juu unaponunua maeneo hayo ili kuepuka mgongano na geeeshi.Nilisikia maeneo ya Kiluvya Tondoroni yana matatizo na JWTZ linasema ni mali yake. Mnaotaka kununua huko mjiridhishe kabla ya kununua kesi na JWTZ.