Shamba linahitajika

MANAKE MKARI

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
321
Reaction score
268
Shamba linahitajika mkoa wa Pwani maeneo yafuatayo: Kwala, Dutumi, Zegero, Mafisi au Mperamumbi. Ukubwa ni kuanzia eka(acres) 4 hadi 10. Upendeleo ni shamba ambalo halijalimwa (virgin) ila hata lililokwisha limwa ni sawa. Shamba lisiwe sehemu ya wafugaji kama kijiji kina mpango bora wa matumizi ya ardhi.
Ni vizuri ukataja bei kabla ya kwenda chemba
 
Karibu rufiji....ikwiriri ujipatie shamba

Ova
 
Kuna hekali 5 ziko Pingo km kama 6 toka chalinze ....bei 700k wa hekali
Ukilizika nicheki 0717616188
 
VIP ulishapata Shamba huko mperamumbi
 
Hivi vijiji viko Wilaya gani katika Mkoa wa Pwani??
 
Hivi vijiji viko Wilaya gani katika Mkoa wa Pwani??

Kwala, Mperamumbi (Kibaha vijijini), Zegero,Mafisi (Kisarawe). Dutumi sina uhakika kama ni sehemu ya Morogoro au Kibaha
 
Kwala, Mperamumbi (Kibaha vijijini), Zegero,Mafisi (Kisarawe). Dutumi sina uhakika kama ni sehemu ya Morogoro au Kibaha
Gwata nnalo vipi upo tayari huko ni kata ya Mafisi
 
mkuu kuna shamba tunauza hapo maeneo ya mapinga lina ukubwa wa 4 acres ni zuri na eneo lipo mjiini huduma zote muhimu zipo, tuwasiliane 0657145555
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…