Shamba linahitajika Bagamoyo

Shamba linahitajika Bagamoyo

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,489
Reaction score
6,883
Wakuu linahitajika shamba kuanzia ekari 20 hadi 50, bagamoyo hasa kuanzia fukayosi hadi kiwangwa. Shamba liwe lenye rutuba na linafikika kirahisi majira yote ya mwaka. Shamba lisiwe na mgogoro na lisizidi km 5 kutoka barabara ya lami ya msata bagamoyo.
Ofa kwa kila ekari ni shi 300,000. Ingawa inaweza kuongezeka au kupungua kulingana na hali ya shamba.
Tafadhali kama unalo au wewe ni dalali nipe taarifa zaidi kupitia pm. Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Sasa hivi kwa shamba la vigezo hivyo bei ni kuanzia 1.5m na usipokuwa makini unapigwa. Wenyeji weshauza mashamba yote sasa huvi wanarudia kuuza yale ambayo walishauza kwa wanunuzi wasiolima
 
Sasa hivi kwa shamba la vigezo hivyo bei ni kuanzia 1.5m na usipokuwa makini unapigwa. Wenyeji weshauza mashamba yote sasa huvi wanarudia kuuza yale ambayo walishauza kwa wanunuzi wasiolima

Aante kwa ushauri mkuu
 
Kiwanja kina uzwa, kinapatikana ubungo, hakina longolongo, ipo nyumba ambayo sio katika mpango, kikubwa ni plot, haina hati miliki lakini ni eneo salama, ikipendezewa andika kwa stefanokiva@gmail.com upatiwe namba za simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom