Shamba lenye Miti ya mbao linauzwa

Shamba lenye Miti ya mbao linauzwa

gwivaha

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
47
Reaction score
17
Lipo eka 10
Bei ni million 20
Miti Ina umri Wa miaka 7
Aina ya Miti ni pine
Linauzwa pamoja na Ardhi
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na 0742188846
Napatikana mkoani NJOMBE
IMG-20170706-WA0005.jpg
IMG-20170706-WA0008.jpg
IMG-20170706-WA0006.jpg


Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Mbona haija kuwa kwa pamoja inaoneka mwingine minene mingine miembamba

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
darts

miti huwa haikuwi sawa. Lazima mingne inakua haraka na mingne taratibu. Unaponunua shamb la miti huwez ona miti yote ni mirefu sawa, minene sawa au miembamba sawa. Nazan nimeeleweka ndugu yang
 
Back
Top Bottom