acha ubishi leta pichaShamba la ekari moja napigaje boss? Utaona view moja tu
Mkuu na zabibu ziko tayari? U can't be serious
Lipo wapi?Mwenye uhitaji wa shamba la zabibu lipo ndani ya mradi wa umwagigiliaji (irrigation scheme) lenye ukubwa wa ekari moja na nusu , lina zabibu tayari ,ambapo unahudumia kisha unavuna, bei ni 19 Milioni, hakuna gharama zingne . Ambaye yupo tayari karibuni
Huwenda anauza na Deni la benki Mkuu!!Mkuu na zabibu ziko tayari? U can't be serious
Hata mm nimejiuliza yaani amelihudumia hadi kufikia kuzaa na kuiva halaf ashindwe kuvuna tu na kuuza.Ipo NAMNA SI BURE!!!
Wana mkopo wa benki plus riba no almost 18MHata mm nimejiuliza yaani amelihudumia hadi kufikia kuzaa na kuiva halaf ashindwe kuvuna tu na kuuza.
Mimi hisia zangu huenda Hilo shamba likawa la partnership,Sasa pengine wamegombana halaf wanataka kuuza kwa kuzungukana.
SawaWana mkopo wa benki plus riba no almost 18M
Yawezekana, au mchepu kakera mtu aliye muandalia Sasa jamaa aliye kerwa kwa hasira anauza au LINA MKOPO BENKI HILO NA MNADA UMEKARIBIAHata mm nimejiuliza yaani amelihudumia hadi kufikia kuzaa na kuiva halaf ashindwe kuvuna tu na kuuza.
Mimi hisia zangu huenda Hilo shamba likawa la partnership,Sasa pengine wamegombana halaf wanataka kuuza kwa kuzungukana.
Yes Kati ya hayoYawezekana, au mchepu kakera mtu aliye muandalia Sasa jamaa aliye kerwa kwa hasira anauza au LINA MKOPO BENKI HILO NA MNADA UMEKARIBIA
Hivi zabibu zinalipa sana?Kwenye heka 1 unaweza kupata pesa ngapi ukivuna?Haya wenye pesa zenu shamba ndio hilo...
Hata Kama Ina Bei nzuri SI kwa Bei hiyo ya m 19 Mkuu Tena kwa ka ekari kamoja tu!!Hivi zabibu zinalipa sana?Kwenye heka 1 unaweza kupata pesa ngapi ukivuna?