Nitafute wiki ijayo j4. Napolima mie kuna mashamba ya kukodi... yapo karibu na mto wenye maji mwaka mzimaWakuu nahitaji shamba la kukodi ama kununua kabisa liwe na vyanzo vya maji
Wapi huko coz mi nipo arushaNitafute wiki ijayo j4. Napolima mie kuna mashamba ya kukodi... yapo karibu na mto wenye maji mwaka mzima
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Ohhh pole... naongelea KilosaWapi huko coz mi nipo arusha
Wanauzaje??Ohhh pole... naongelea Kilosa
Kilosa sehem gani?Ohhh pole... naongelea Kilosa
Napajua hapo, ukitaka maeneo hapo bei zikoje za kununua au kukodi karibu karib na mto huko?Rudewa