Shamba la miti ya nguxo za umeme linauzwa

Shamba la miti ya nguxo za umeme linauzwa

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,739
Nauza shamba tajwa hapo juu. Lipo mafinga kwenye kijiji cha kinyanambo. Lina ukubwa wa eka sita.

Miche ipo elfu sita yenye umri wa miaka miwili toka imepandwa.

Bei ni mil.24/-

Karibu kwa yule yuko serious.
 
Nauza shamba tajwa hapo juu. Lipo mafinga kwenye kijiji cha kinyanambo. Lina ukubwa wa eka sita.

Miche elfu sita yenye umri wa miaka mwili imepandwa.

Bei ni mil.24/-

Karibu kwa yule yuko serious.

Kinyanambo C au kinyanambo ipi Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Dah,,ningekuwa na mapesa ningenunua,,hiki kilimo baada ya miaka kadhaa unakua na pesa ndefu
 
Semdenyi weka wazi ni kijiji gani na umbali kutoka kwenye lami pia. unasema teksi inakwenda kwani ugesa haiwezi kufika tax.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom