L Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 36 Reaction score 54 May 5, 2024 #1 Namtafuta shamba la kununua morogoro
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,236 Reaction score 4,779 May 6, 2024 #2 Lomaa lolusa said: Namtafuta shamba la kununua morogoro Click to expand... Morogoro sehemu gani?? Unahitajia hekari ngapi?? Liwe la mpunga au haya ya nchi kavu mahindi na n.k Jibu hapa mkuu
Lomaa lolusa said: Namtafuta shamba la kununua morogoro Click to expand... Morogoro sehemu gani?? Unahitajia hekari ngapi?? Liwe la mpunga au haya ya nchi kavu mahindi na n.k Jibu hapa mkuu
L Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 36 Reaction score 54 May 6, 2024 Thread starter #3 Mr simple M said: Morogoro sehemu gani?? Unahitajia hekari ngapi?? Liwe la mpunga au haya ya nchi kavu mahindi na n.k Jibu hapa mkuu Click to expand... Heka Tano...umbali usizidi km 30 tokea mjini... Liwe la nchi kavu
Mr simple M said: Morogoro sehemu gani?? Unahitajia hekari ngapi?? Liwe la mpunga au haya ya nchi kavu mahindi na n.k Jibu hapa mkuu Click to expand... Heka Tano...umbali usizidi km 30 tokea mjini... Liwe la nchi kavu
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,243 Reaction score 4,745 May 6, 2024 #4 Lomaa lolusa said: Heka Tano...umbali usizidi km 30 tokea mjini... Liwe la nchi kavu Click to expand... Jipange, kwa imbali huotafuta maeneo ya kihonda Bwawani MV mapemzi
Lomaa lolusa said: Heka Tano...umbali usizidi km 30 tokea mjini... Liwe la nchi kavu Click to expand... Jipange, kwa imbali huotafuta maeneo ya kihonda Bwawani MV mapemzi
Akilibandia JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 478 Reaction score 637 May 6, 2024 #5 Ofa yako shingapi? Kama upo serious ni PM leo!!
L Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 36 Reaction score 54 May 6, 2024 Thread starter #6 Mamaya said: Jipange, kwa imbali huotafuta maeneo ya kihonda Bwawani MV mapemzi Click to expand... Bwawani mbona nasikia wanasema ni eneo la serikali lile
Mamaya said: Jipange, kwa imbali huotafuta maeneo ya kihonda Bwawani MV mapemzi Click to expand... Bwawani mbona nasikia wanasema ni eneo la serikali lile
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,243 Reaction score 4,745 May 6, 2024 #7 Lomaa lolusa said: Bwawani mbona nasikia wanasema ni eneo la serikali lile Click to expand... Liko pa serikali na la wanakijiji,
Lomaa lolusa said: Bwawani mbona nasikia wanasema ni eneo la serikali lile Click to expand... Liko pa serikali na la wanakijiji,
L Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 36 Reaction score 54 May 6, 2024 Thread starter #8 Mamaya said: Liko pa serikali na la wanakijiji, Click to expand... Unaweza niunganisha na mtu ambae anajua demarcation ya sehemu ya serikali na sehemu ya raia
Mamaya said: Liko pa serikali na la wanakijiji, Click to expand... Unaweza niunganisha na mtu ambae anajua demarcation ya sehemu ya serikali na sehemu ya raia
L Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 36 Reaction score 54 May 6, 2024 Thread starter #9 Mamaya said: Liko pa serikali na la wanakijiji, Click to expand... Unaweza niunganisha na mtu ambae anajua demarcation ya sehemu ya serikali na sehemu
Mamaya said: Liko pa serikali na la wanakijiji, Click to expand... Unaweza niunganisha na mtu ambae anajua demarcation ya sehemu ya serikali na sehemu
Ubena Zomozi JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,698 Reaction score 1,333 May 7, 2024 #10 naweka kambi hapa
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,782 Reaction score 15,573 May 10, 2024 #11 Lukobe mayanga kuna shamba