Shamba la Kanisa latoa ajira kwa watoto Uganda

Status
Not open for further replies.

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
49,681
39,013
Wanaukumbi.

Uchunguzi wa BBC umegundua kuwa watoto wameajiriwa kwenye shamba moja la chai linalomilikiwa na Kanisa Katoliki nchini Uganda.

Moja ya kampeni za Papa Francis ni kupiga vita ajira kwa watoto. Je nini mtazamo wako katika suala la ajira kwa watoto hasa kwa kuzingatia utamaduni wa Afrika?

Chanzo: BBC Dira TV
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom