Shamba la heka 50 linauzwa Korogwe

Shamba la heka 50 linauzwa Korogwe

wonderaz

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
60
Reaction score
7
Shamba la ukubwa wa heka 50 linauzwa Korogwe halijawahi limwa wala katwa mtii. Ni eneo zuri kwa kilimo kwakuwa ardhi inarutuba,kwa mwenye uhitaji anitafutee kupitia nambaa hii 0716623022.bei ni MILION 15

Lipo kilomita tisini kutoka korogwe mjini na kilomita kumi utoka barabara kuu katika kijiji cha chang'ombe mkoani Tanga
 
kaka bei ni private kwa maongezi zaidi piga simu
 
Back
Top Bottom