tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Heshima kwenu wawekezaji.Rejea kichwa hapo juu.Lipo Mkoan Iringa wilaya ya Kilolo sehemu za dabaga.Eneo hilo linafaa kwa kupanda miti ya mbao hasa PINES.Hali ya hewa na rotuba ni surpportive kwa shughul hiyo.Ekari 1 ni Tsh.140,000/=tu
NYOTE MNAKARIBISHWA.
NYOTE MNAKARIBISHWA.