Kuna heka 20 za ukweli zinauzwa Mwanzomgumu,kunafaa kuchimba kisima na pia kuna mradi wa bomba la maji unaendelea.Kuna nyumba ya bati,ni umbali wa 30 toka Chanika mjini.Bei ni za maelewano,Kama upo serious niPM faster!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.