Shamba/kiwanja kinahitajika kibaha haraka!

Shamba/kiwanja kinahitajika kibaha haraka!

Kibela

Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
58
Reaction score
10
Mwenye heka moja Kibaha aseme nije kununua kiwanja(kisiwe karibu na barabara,hapa naogopa bei) na kama shamba liwe na wakazi kidogo maeneo hayo lisiwe polini kabisa.
 
Kaka unaogopa bei kama karibu na barabara na vile vile unataka shamba ambalo kuna wakazi kidogo ila heka moja.Naomba umalizie vyote unavyotaka na usivyotaka na mwisho kiasi cha mshiko uliokuwa nao ili mtu atakaye meet condition aku pm au toa namba ya simu kwa mawasiliano zaidi ili mtu akitaka kukupeleka ukapaone kama mimi nipo Dar na nitakupeleka kuona kwa gharama ya Elfu hamsini kwa usafiri wangu non refundamble.Upo hapo mkuu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom