kwenye hilo shamba kuna nyumba ya kisasa.Milioni 9 au 900?
yaani eka moja milioni 100? huu ni zaidi ya ufisadi. Mimi nina eka
mbili Ukonga so nina mali ya zaidi ya 200M?
lipo pugu kajiungeni lina hati na ramani pamoja na nyumba ya kisasa yenye umeme na maji.bei ni 900m.
kwenye hilo shamba kuna nyumba ya kisasa.
sijakuelewa unauza au?unamkosoa.sema bac ulilinunua au unauza bei ganiMilioni 9 au 900? yaani eka moja milioni 100? huu ni zaidi ya ufisadi. Mimi nina eka mbili Ukonga so nina mali ya zaidi ya 200M?
sijakuelewa unauza au?unamkosoa.sema bac ulilinunua au unauza bei gani