Shamba hekari 500 mkuranga/hekar 1 mil 2

Bado ni shamba pori?
Mkuu hekar 500 n ngumu kuziendlza zote kuna upnde kuna miembe, michungwa na mifenes lkn sehem kubwa imefanyiwa usaf lkn haina mazao
 
Mkuu hekar 500 n ngumu kuziendlza zote kuna upnde kuna miembe, michungwa na mifenes lkn sehem kubwa imefanyiwa usaf lkn haina mazao

Mkuranga sehemu gani kuwa specific kama ni kimanzichana ama wapi
 
Uko kisarawe kunalimwa vitu gani mkuu naweza kupata eka tatu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…