abas haedar
New Member
- Nov 30, 2014
- 4
- 3
Nauza shamba wilayani mkuranga kata ya vikindu kijiji cha malela.
Eneo lilipo kilometres 45 tokea city center mjini
Shamba lina nyumba za kisasa 4
Mabwawa ya samaki 8 na samaki kila bwawa samaki 10000
Kuna tank LA Lita laki moja likiwa limeunganishwa katika mfumo wa kisasa wa umwagiliaji
Pia kuna mota tatu na minara mitatu na matenk ya Lita 1000 kwa kupandishia maji
Kuna mifugo km mbuzi 30
N'gombe wa kisasa 2 bata 40
Kuku 50 mazao taliyop heka 5 za mahindi yaliyo komaa tayari kwa mavuno
Mipapai heka 2
Passion matunda heka 2 minazi ya kisasa heka 2 ndimu heka 2
Miembe ya kisasa tayari kwakuvuna heka 3 mpunga heka tano tayari kwa kuvuna heka 10 zipo free hazifanyiwa Nazi
Call 0716888799 njoo tuzungumze
Being milioni 350 yani unawekeza na kupata matokea haraka zaidi.