Shamba ekari 589 linauzwa Iringa

Shamba ekari 589 linauzwa Iringa

slick

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
23
Reaction score
0
Kwa wote wanaotaka shamba kwa ajili ya kilimo cha miti au mazao tofauti.. Ninauza shamba la ekari 589,
*Mto usiokauka umepita katikati ya shamba,
*Barabara nzuri mpaka shambani pia km 50 kutoka iringa mjini mpaka shambani.
Kwa mawasiliano: 0718 835 549
 
Weka profile yako nzima utauzaje eneo lote hilo kwa I'd fake namba ya simu haitoshi kabisa watu wanatumia namba za simu tofauti na majina Yao halisi.
 
Iringa ni kubwa sana weka maelezo yanayojitosheleza mahali lilipo na bei
 
Taja bei kwa heka na eneo linaitwaje..wanalima nini?
 
Kwa yeyote alie serious anahitaji shamba anipm tufanye mazungumzi
 
Wiki kadhaa zilizopita baada ya kutangaza ninauza shamba la ekari 589, lililopo iringa wilaya ya kilolo.. Nimegundua watu wengi wanauhitaji wa mashamba kuanzia ekari moja na keuendelea.

Sasa kwa watu wote wanaohitaji mashamba huku pande za iringa wawasiliane na mimi. Sitaongeza au kupunguza bei bali nitahitaji 5% ya bei ya shamba kama gharama ya huduma hii

Mawasiliano: 0718 835 549
 
Bei ya mashamba ni kuanzia 200,000 - 700,000 kwa ekari, bei ni kulingana na umbari kutoka mjini, Ukaribu au uwepo wa maji, Pia yapo yaliyofyekwa na ambayo hayajaandaliwa. Iringa imejariwa na ukanda unaokubari vilimo vya aina nyingi sana kama matunda, Mboga mboga na mazao yote ya chakula. Pia mashamba huku yapo karibu na mengine ambayo katikati ya shamba kuna mito isiyokauka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom