Bei iko juu sana, na inabidi uweke vitu wazi, ni la nani? urithi au? shusha bei na uligane. hayo ni maoni yangu.
tangazo lako linakosa vitu vifuatavyo; umbali toka Iringa mjini, je liko ndani ya manspaa aka city,je lina mali gani kwa sasa,nani ni mmiliki kwa sasa na kwa nini anauza, je miundombinu gani ipo ( maji/umeme/barabara). Hati miliki ipo au ndio zile za serikali ya kitongoji,Toa,maelezo vizuri mkuu.Shamba linauzwa lina ukbwa wa ekari 580 lipo iringa mitaa ya mgongo bei piga simu hii 0655 088055
tangazo lako linakosa vitu vifuatavyo; umbali toka Iringa mjini, je liko ndani ya manspaa aka city,je lina mali gani kwa sasa,nani ni mmiliki kwa sasa na kwa nini anauza, je miundombinu gani ipo ( maji/umeme/barabara). Hati miliki ipo au ndio zile za serikali ya kitongoji,Toa,maelezo vizuri mkuu.
Bado hueleweki nduli ndio wapi,uganda?liko umbali wa kama kilometa 3-5 kutoka barabara kuu ya kuelekea dodoma kabla hujafika nduli, na kina hati kamili na umeme ,maji na ina nyumba nzuri ya kuishi
Bado hueleweki nduli ndio wapi,uganda?