SHAMBA EKARI (4)/VIWANJA (10) MATUGA, MLANDIZI-PWANI.

PESA ya kulipwa Dalali imeandikwa na kucctizwa ila Bei ya kiwanja BIG NO.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Huyu dalali anajiangalia yeye tu! yaani ameainisha malipo yake tu, lkn bei ya eneo ambayo ndio halali ya mmiliki waaalah! hiyo hana muda nayo!
 
Changu kwanza kisha cha mwingine,
Hapo vipi?

Kiukweli nilichapia sikuweka.
Haya sasa nimerekebisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom