Kabla sijapoteza pesa yangu kukupigia nijibu hilo shamba liko maeneo gani, na ni km ngapi kutoka bmoyo mjini, pia unauza heka moja kwa sh ngapi?
Kilometa 5 kuelekea Msata, ekati moja milioni moja laki mbili tu. Maongezi ruksa. Sasa kama unaogopa kupoteza 200/- kuuliza utaweza kweli kununua kwa mil. 36? Anyway mimi sio muuzaji, so ukimpigia mwambie namba umepata kwa dokta. Kila la kheri
aaaah! mchungaji unauza mashamba sasa! safi, sasa nifanyie mpango mana nataka bagamoyo kitopeni kule, inakuwaje?