Shamba ekari 3 linauzwa Mabwe Pande

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
Shamba ekari 3 linauzwa Mabwe Pande, kila eka million 15. lina miti ya mitiki na mipingo
halina hati, hakuna dalali simu 0714 432979
 
Umeme umefika huko.

haitachukua muda umeme kufika maeneo ya karibu, kwani kama km 3 hivi, upo umeme, na eneo lote la mabwe pande liko kwenye mchakato wa kupimwa viwanja kwani ni karibu na lile la waathirika wa mabondeni, litakua mji wa kisasa kabisa
 
Kwa jinsi Serikali yetu ilivyo itachukuwa miaka mingi sana huduma kufika huko. Zile habari zilikuwa za kuwapoza waathirika wa mafuriko, hautasikia tena ndio imetoka. Maeneo mengine mjini kabisa hayana hizo huduma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom