Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 489
Habari wana Jf ninashamba langu mwenyewe binafsi sio dalali ninaliuza.
Mahali lilipo shamba ni mkoa wa mtwara, wilaya ya masasi katika vijiji vya mikangaula.
Ukubwa wa eneo ni ekari 25.
Bei ni million 7.
Umiliki wa shamba ni la kwangu mwenyewe nimeuziwa mbele ya mwenyekiti wa serikali za mitaa pamoja na mashahidi ambao ni wazee wa kijiji hicho.
Pembeni mwa shamba hilo kuna mto wa msimu umepita hapo.
shamba kwa kiufupi halijawahi kulimwa ila niliwahi kulisafisha sio pori.
ni shamba zuri kwa kilimo cha ufuta, karanga na nafaka nyingine ila maneo mengi wamepanda mikorosho maeneo hayo.
ikiwa unahitaji kujua taarifa zaidi wasiliana na mm kwa namba 0712 212 220