komandokipensi
Member
- Apr 16, 2013
- 20
- 2
Shamba lina ukubwa wa eka 20, lina kisima cha maji (hayakauki muda wote), nyumba ya kukaa, liko morogoro msowero,ni sehemu nzuri kwa kufuga nyuki, bwawa ya samaki, kilimo n.k bei ni milioni kumi tu, mawasiliano:0774797679