Shamba boy anapatikina hapa.

Shamba boy anapatikina hapa.

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Ndugu watanzania naomba hili swala mlichukulie siliazi.
Kwa yule anayetafuta SHAMBA BOY na anayetafuta mfanyakazi wa kutunza ng'ombe wake na kutunza mifugo yake. tuwasiliane 0754413671
NITASHUKURU SANA.
 
Unaweza fanya Morogoro?..Ni PM expected salary
 
na Mimi naitaji kazi ya ushamba boy kama kutunza bustani kufungua geti namengine lakini sikulisha ngo'ombe mawasiliano yangu ni 0719220334
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom