Shallom Shallom.

EBENEZA MT

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
264
Reaction score
50
Ndugu zangu amani ya Mungu iwe nanyi nimefurahi kuwa kwenye jamvi hili naamini mtanikaribisha.
 
Karibu Ebeneza. Na sisi tunafurahi kua nawe.
 
karibu sana Ebeneza.


Amani ya mungu iwe nawe pia.
 
maranatha Ebeneza. Karibu saaaaana jamvini!
 
Karibu sana ila hapa tunataka mambo ya maana yenye kujenga utapata marafiki wa kutosha micharuko humu sio sehemu yao
 
Hata sasa Bwana anatusaidia....hilo jina tu!
Karibu kaka....
 
Ebeneza MT......hujambo,karibu sana wajisikiaje utokapo??
 
Ohhh! Glory to God! Nafurahi sana kujumuika na wapendwa wa mungu jamvini, Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha sana Ebe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…