Shake well before use

Bila shaka huyu mleta "siledi" ndie yule mwenyekiti wa mtaa kule Dodoma waliyelalamika kuwa anagawa viwanja kwa wenye makalio tuu. hahahahahahha
HAHAHA NIMESIKIA ASUBUHI EFM NIMECHEKA SANA KWAKWELI
 
Hivi siku hizi mchina hatengenezi tena haya mavitu? mbona simsikii tena mara moja kubwa lingine dogo?
 
Hivi siku hizi mchina hatengenezi tena haya mavitu? mbona simsikii tena mara moja kubwa lingine dogo?
waandishi wazuri wa vitabu hutoa matoleo mapya (editions) na upya wa kila toleo huwa bora kuliko lililotangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…