Shaka Hamdu Shaka aifata CUF Mtwara

Shaka Hamdu Shaka aifata CUF Mtwara

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
260
Reaction score
61
Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja Wa vijana Wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Bwana Shaka yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya wiki mmoja akitumia mbinu mbali mbali ambazo zimefanikiwa Zanzibar na kukitikisa chama cha CUF Znz hasa wakati Wa mwezi Wa sherehe za miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar

Akiwa Mtwara amefungua rasmi mashina 10 ya vijana Wa CCM ambao awali vilikuwa vijiwe vya CUF

Shaka alionekana kuwavutia vijana wengi huku akiwapa mifano halisi ya Zanzibar kwa madhila yalioletwa na CUF huku akiwataka vijana kutodanganyika na kauli za viongozi Wa CUF kwani ni maneno matupu
"Hao jamaa wasiwadanganye...Znz wanamakamu Wa kwanza Wa Rais wanamawaziri...lakini hakuna wanachofanya zaidi ya kuongeza kuoa wake kila siku.."
 
Attachments

  • 1422563921137.jpg
    1422563921137.jpg
    36.1 KB · Views: 525
  • 1422564015017.jpg
    1422564015017.jpg
    28 KB · Views: 446
Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja Wa vijana Wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Bwana Shaka yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya wiki mmoja akitumia mbinu mbali mbali ambazo zimefanikiwa Zanzibar na kukitikisa chama cha CUF Znz hasa wakati Wa mwezi Wa sherehe za miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar

Akiwa Mtwara amefungua rasmi mashina 10 ya vijana Wa CCM ambao awali vilikuwa vijiwe vya CUF

Shaka alionekana kuwavutia vijana wengi huku akiwapa mifano halisi ya Zanzibar kwa madhila yalioletwa na CUF huku akiwataka vijana kutodanganyika na kauli za viongozi Wa CUF kwani ni maneno matupu
"Hao jamaa wasiwadanganye...Znz wanamakamu Wa kwanza Wa Rais wanamawaziri...lakini hakuna wanachofanya zaidi ya kuongeza kuoa wake kila siku.."

Huyu Shaka hana loloote juzi watu walikuwa wanamuongelea ana bwana wa kiingereza analiwa tg, Halafu pia alitolewa nje ya ukumbi ni Dr Shein baada ya kusema ccm imekufa Zanzibar na aliyeiuwa ni Rais Shein mapak ikawa kuombewa ni Asha Bakari aendelee kubaki kwenye ccm
 
Viongozi wake wamweleze kwamba Mtwara hawataki maneno ya kishoga na matusi anayo sifika kuongea akiwa huko nchini kwao Zanzibar!
 
Kumbe analiwa Tigooo? sasa kwa nini alitafuta bwana kutoka mbali huko? wakati Uganda wamejaa!
 
Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja Wa vijana Wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Bwana Shaka yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya wiki mmoja akitumia mbinu mbali mbali ambazo zimefanikiwa Zanzibar na kukitikisa chama cha CUF Znz hasa wakati Wa mwezi Wa sherehe za miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar

Akiwa Mtwara amefungua rasmi mashina 10 ya vijana Wa CCM ambao awali vilikuwa vijiwe vya CUF

Shaka alionekana kuwavutia vijana wengi huku akiwapa mifano halisi ya Zanzibar kwa madhila yalioletwa na CUF huku akiwataka vijana kutodanganyika na kauli za viongozi Wa CUF kwani ni maneno matupu
"Hao jamaa wasiwadanganye...Znz wanamakamu Wa kwanza Wa Rais wanamawaziri...lakini hakuna wanachofanya zaidi ya kuongeza kuoa wake kila siku.."

Kweli shaka (Zulu?) Kapata mapokezi makubwa mno
 
Mkuu acha mambo ya kilevi bana.

Kinachonichekesha na kunishangaza pia vijana/ makuwadi wa chama chawala ni hizi ID zenu!!! Karibia zote zimekaa shoti....hivi huwa mnachaguliwa au ni zenu wenyewe?
 
Ameona na mtwara watadanganyika kwa tende na harua?

Anajidanganya kwa mtwara, amuulize kinana na nape walipokelewa kwa mbwembwe na kufungua mashina kama anavyofanya, ulipokuja uchaguzi wa serikali za mitaa hawakuamini matokeo ilikuwa ni aibu kubwa.
 
Zamani umoja wa vijana ccm ulikuwa kweli una wasomi na viongozi makini. Sasa ccm imeishiwa vijana wengi wanaiacha mkono.
Zamani kulikuwa na kina
Nchimbi
Ulimwengu
Lowasa
Seif khatib
Sukwa
Lukuvi
Kidogo hawa walikua wanajua wana chofanya
Huyu matusi ndio yake lakini si ajabu mija ya sifa kuu ya baradhuli ni matusi
 
ccm !A dying state...!!!
 
Kinachonichekesha na kunishangaza pia vijana/ makuwadi wa chama chawala ni hizi ID zenu!!! Karibia zote zimekaa shoti....hivi huwa mnachaguliwa au ni zenu wenyewe?
Mkuu hii mshana ni yule dada aliyewahi kuwa mke wa katibu mkuu wizara ya fedha?
 
ccm !A dying state...!!!
Muulize lipumba atakupa majibu au babu slaa anajua mtiti wa ccm hawalali wamefanywa kiasi kwamba mda wote wanalia kwa kushindwa kujielewa wafanye nini wanayumba hovyo.
 
Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja Wa vijana Wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Bwana Shaka yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya wiki mmoja akitumia mbinu mbali mbali ambazo zimefanikiwa Zanzibar na kukitikisa chama cha CUF Znz hasa wakati Wa mwezi Wa sherehe za miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar

Akiwa Mtwara amefungua rasmi mashina 10 ya vijana Wa CCM ambao awali vilikuwa vijiwe vya CUF

Shaka alionekana kuwavutia vijana wengi huku akiwapa mifano halisi ya Zanzibar kwa madhila yalioletwa na CUF huku akiwataka vijana kutodanganyika na kauli za viongozi Wa CUF kwani ni maneno matupu
"Hao jamaa wasiwadanganye...Znz wanamakamu Wa kwanza Wa Rais wanamawaziri...lakini hakuna wanachofanya zaidi ya kuongeza kuoa wake kila siku.."

kukubalika kwa CCM au CUF kutajulikana panapo majaaliwa October acha kudanganya watu hapa
 
Huyu Shaka hana loloote juzi watu walikuwa wanamuongelea ana bwana wa kiingereza analiwa tg, Halafu pia alitolewa nje ya ukumbi ni Dr Shein baada ya kusema ccm imekufa Zanzibar na aliyeiuwa ni Rais Shein mapak ikawa kuombewa ni Asha Bakari aendelee kubaki kwenye ccm

Basi Uvccm huko Zanzibar balaa, maana jana wakati mwenyekiti wao Mbunge Sadifa wakati akizomewa Bungeni ilisikika kauli kuwa "Huyo mtoto sio rizki" sasa najiuliza ina maana ili upewe madaraka UVCCM huko Zanzibar lazima uwe katika hali hiyo?
 
Back
Top Bottom