Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
Siku hizi wanasema silaha kumgusa mtu. Ha haaa, Mambozamani huyo. Eti silaha iliyomgusa Akwilina haijajulikana!we jamaa wewe....!!angalia usije ukajiteka au kujipiga risasi!!
mvaa suti huyowe jamaa wewe....!!angalia usije ukajiteka au kujipiga risasi!!
Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba,Wamama na kina baba, ninayosema sikia,
Mwana kumwita Msiba, ni tabu kumtakia,
Atakuwa na uhaba, wa akili nawambia,
Mfano ni huyu daba, uchao atubwatia.
ukipewa cheo lzm uwe na shukrani,nasikia eti cheo ni dhamana.Siku hizi wanasema silaha kumgusa mtu. Ha haaa, Mambozamani huyo. Eti silaha iliyomgusa Akwilina haijajulikana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dahSiku hizi wanasema silaha kumgusa mtu. Ha haaa, Mambozamani huyo. Eti silaha iliyomgusa Akwilina haijajulikana!
Wanamuaminia, ni kichwa na anajiongeza [emoji23] [emoji23]hivi wanaomtuma huyo musiba mbona hawamwandalii hata ya kuongea
P kumbe umo? Tumekutana mara nyingi sana Sabasaba Kilwa Road na hata Mnazi Mmoja. Sikujua manju [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Big up bro[emoji106] [emoji106]Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba,
Waulize Maswahaba, kuhusu mingi misiba,
Ya ndugu wenye nasaba, wanapopata msiba,
Mtu kuitwa Musiba, ni balaa la msiba.
Ni balaa la msiba, Mtu kuitwa Musiba,
Usijiletee misiba, kwa Majina ua Musiba,
Epuka yote misiba, Kumuepuka Musiba,
Mtu kuitwa Musiba, ni balaa la msiba.
Musiba anapayuka, kwa habari za msiba,
Akilize zayeyuka, kwa tarifa ya msiba,
Fikira zimeyeyuka, kwa kufikwa na msiba,
Mtu kuitwa Musiba, ni balaa la msiba.
Musiba aleta janga, janga kubwa la msiba,
Majina yenye majanga, kutuletea misiba,
Taifa lenye majanga, yaletwayo na msiba,
Mtu kuitwa Musiba, ni balaa la msiba.
Kaditama nimefika, Musiba aache misiba,
Kwenye heri tumefika, asituletee misiba.
Hapa mwisho nimefika, tusisikie misiba
Mtu kuitwa Musiba, ni balaa la msiba.
p
Nani amdhibiti, nani anamtuma. sema anayemtuma aache kumtuma.Huyu bwana Msiba hasipozuiliwa kuna kitu anakipandikiza ndani ya Watanzania,
Yeye kama raia mwema alipaswa kwenda kurepot mahala husika,
Hii ya kutaja taja watu tu madhara yake ni makubwa sana ,
Atajenga tabia ya watu kupuuza habari nyingine za ukweli wakidhani ni Tanzania ya kutaja taja tu,
Adhibitiwe na ashikiliwe kwa mahijihano zaid
Hakuna anayemtuma, basi kama anamtuma hapo hoja zake zina ukweliNani amdhibiti, nani anamtuma. sema anayemtuma aache kumtuma.
Elezea zaidSema pamoja haya mambo yanatokea hawajawai kuigusa family za maaskari wa JWTZ.
Wakiwagusa family za maaskari wa JWTZ ndio tutapata jibu kamili